Nimpeleke wapi kijana wangu?

Nimpeleke wapi kijana wangu?

NileSat

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
340
Reaction score
182
Mwanangu ana ndoto za kuwa mhandisi amemaliza kidato cha nne
 
Sijui kama kuna shortcut anaweza pitia, ila nadhani mwanao anatakiwa cha kwanza kuwa mvumilivu kwa maana kwa vile alisha chemka katika masomo mwanzoni hivyo itachukua muda paka channels zikae sawa.

Binafsi ningemshauri kwa vile amemaliza ngaz ya chet, anauwezo wa kuanza maisha taratibu wakati huo huo akirisit(kurudia)masomo ya physics, mathematics na chemistry.

Kama anamoyo na kujituma kwa dhat akifanikiwa kufaulu aende private A levo PCM then baada ya hapo nadhan kama matokeo yakiwa fresh tunamkaribisha UDSM college of engenearing (COET) kusona fani yoyote.

Ni njia ndefu ila ya uhakika zaidi.

Mungu ambarik saana mwanao,
 
Atumie cheti cha veta hadi grade 3 Marjorie!! afu hapo anaweza kwenda diploma kupitia Nacte
 
Asante sana mkuu nimejaribu kutrace njia ya Nacte naona anaweza pata way..Qualifications kwa FOE nadhani sasa ndio COET kwa Engineering zipoje kwa wanaotaka kujoin halafu wanatokea Nacte? kwa level ya degree yani kama ata pata diploma
 
Nadhani angeenda FTC like arusha tech na nyingine ila kuingia chuo kikuu lazima awe na principal ya mathematics... Physics sio muhimu as sio mother of engineering....
So advice him a reseat mathematics and other two subject in order to earn a degree...

Hebu fuatilia mbeya tech na Arusha tech.....
 
Vema kabisa, hata mimi naiona njia ya kwanza muhim ni kureseat...
 
mtafutie shamba la heka mbili pamoja na mtaji aendeshe kilimo kitamsaidia
 
Mwanangu ana ndoto za kuwa mhandisi ila hakuwa na selection nzuri since yuko o level ujana ulimchanganya na kuacha masomo kama Physics na Hesabu ambapo physics hakufanya ila math alifanya na kupata F Baada ya hapo alitamani kuingia jeshini ila nilimzuia na kumsihi asome ili awe mhandisi kama mie baba ake nilimpleka Veta na alijiunga na kozi ya umeme kwa sasa ana hitimu ngazi ya cheti na amekuwa akinihasa sana kuwa anataka kusonga mbele na huko veta alipokuwa alikuwa anasoma hesabu na Engineering science pia Anadai anayapenda masomo hayo currently na kania ahidi kuyafaulu

.Wasi wangu je ataweza kukubaliwa kujiunga diploma na hatimae Chuo kikuu ile hali hana physcis o level na ana F ya hesabu? Kijana wangu huyu matokeo yake mengine yako ivi
-Chemistry D
-English D
-Biology D
-Geography D
-Civics D
-Kiswahili D
-History D
-Mathematics F

Naombeni ushauri wenu? noted matokeo hayo ni kabla ya Haya mambo ya BRN yani ni ya mwaka 2012 Kwa mantiki hio ana Four ya 28

Dunia imebadlka acha kumpotezea mda na uspende kufata anachotaka mtoto au unachopenda wewe ni mawazo ya kzaman sana mwshon atarist atakata tamaa na atarud mtaan kufanya udeiwaka kwa kfup hesabu hana background kwa matokeo hayo ata akrseat ataforce na engineering anaweza kudsco probably. .nashaur aende certificate ya human resources management apo Ustaw wa jamii dar mwaka mmoja dn aunganishe diploma ya human resources management two yrs apo apo aunge na degree na akisomea apo hawana vkwazo ata kwenye kumchagua wadogo zangu nliwasaidia kwa njia hyo..hakuna taass isyoitaji human resources offcers au mhasbu kwa sasa...achana na feeling tungefata feeling tungepoteza dira cheki soko la ajira na posblty kwa ustaw wa jamii ada ni cheap na pia akiwa na pass kuanzia nne wanamchukua ada pia ni nafuu na wanatoa elimu bora sana ... Ustaw wa jamii kwa hr na Mzumbe ts more better
 
Back
Top Bottom