Naomba ushauri katika hili

Naomba ushauri katika hili

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Nimesoma degree ya Computer Science, katika kuhangaika nimepata scholarship ya kufanya Master ya Traffic and Transportation Engineering nchini China.

Je, hii kozi ina future hapa kwetu Tanzania.

Naombeni ushauri.
 
Mim navojua watu wa Traffic wanajiriwa sana kwenye Miji Mikubwa yenye Population sasa Tz mzima miji inayokuwa kwa Kasi zaid ni DSM lakin cha kushangaza Haina Flyovers hata uchwara mim nakushauri ukienda piga hiyo course usirudi huku tafuta kazi nje
 
Back
Top Bottom