Usijaribu kuhama chuo, najuta!

Vumilia mkuu, hata mimi mwaka jana nilihama chuo,boom lilichelewa miezi mitatu na lilipokuja ilikuja quarter ya pili baadae ya tatu lkn mwisho wa mwaka quarter ya kwanza ikaja na quarter ya nne nikawa tajiri!!
 
Mnahangaika sana. Mnahama vyuo kwakufuata mkumbo tu. Hasa First Year ndio mnakurupuka sana
 
Kwa kawaida semester ya kwanza hua inaisha bila boom...boom utaanza kupata semester ya pili...kama unataka kuhama inabidi uwe vizuri kidogo il kile kipnd ambacho unasubiri mkopo uwe transfered unakua unatumia boom la mzazi hata mie pia ilinitokea hio nkaja kupata 1.5M kwa mkupuo
 
Back
Top Bottom