Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Salama wanajamvi. Tafadhali kwa mwenye kufahamu ada za vyuo vya ualimu vifuatavyo anisaidie: 1. St. Aggrey Chanji College of Education and Business Studies (Sumbawanga) 2. Archibishop Mihayo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Njoo Halmashauri ya Geita nije moja kati ya mikoa/wilaya zifuatazo; Dodoma Municipal Morogoro Municipal Kibaha Bagamoyo Korogwe Mji/DC Tanga Jiji Dar es Salaam. Idara-Sekondari. Mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vyuo vya diploma vya serikali vinavyofundisha masomo ya sayansi yani Biology na Chemistry naomba nivijue.Nataka nimwone dogo. Asante
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu ni mwezi Wa name Sasa. Tume mpaka Sasa hawajatoa deadline za kuomba chuo? Mwenye kujua au kumfahamu mwisho lini anisaidie!!!!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ninaye dogo hapa kamaliza kidato cha nne ana 4 ya 26. anazo c mbili na D tano. niliomba chuo cha kilimo hapa Mwanza. Kupitia chuoni mpaka sasa naona jina lake halikurudi. Je nifanyaje au niombe...
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Ninaye dogo hapa kamaliza kidato cha nne ana 4 ya 26. anazo c mbili na D tano. niliomba chuo cha kilimo hapa Mwanza. Kupitia chuoni mpaka sasa naona jina lake halikurudi. Je nifanyaje au niombe...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
habari wana jf, naomba kuuliza mwisho wa kufanya application ya diplo sua ni lini kwa wale form six wlokosa d mbili za bachela. nifahamisheni wadau
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hadi leo ukimwuliza mwalimu, mwasibu, afisa ugavi, afisa kilimo, na wengineo wenye stashahada nini matumaini yake kupata elimu itakayomwongezea maarifa au a nakwambia bora nisingesoma fani hii...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu najaribu kujiuliza ni kwa nini course za engineering naona waombaji wachache?. Has a ukizingatia zile course zilizopo cluster 1,ambazo zinakipaumbele kikubwa cha mkopo mpaka sasa sioni...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
wakuu hii itatoka mda gani????????
0 Reactions
18 Replies
3K Views
ndugu zangu nilikuwa naomba ushauri kati ya petroleum eng na civil eng ipi ni bora zaidi kuisoma kwa kutazama soko na uwepo wa ajira kwa sasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mfano Computer Science, Information technology, Information Systems, Software Engineering, Networking, na kadhalika! Share with us!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana jf kama kichwa cha habar hapo juu naomba kujuzwa hizo second selection za kwenda form V zinatoka lini au nichangalamacho maana watu wamesubr sanaa ilaaa waheshimiwa wapo kimyaa
0 Reactions
8 Replies
6K Views
..........,Baraza linaomba ifahamike kuwa vyuo na kozi zilizojaa hazitaonekana tena wakati wa maombi bali kozi zitakazoonekana ni zile zenye nafasi tu. Orodha ya kozi zilizojaa zimeainishwa hapa...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Naomba kama kuna mtu yoyote ambaye anaweza au ana ndugu /rafiki kuniwezesha kupata uhamisho wa kwenda vyuo tajwa hapo juu kwa uwezo na gharama Wowote utakaoitajika nitashiriki ipasavyo. NiPM au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Moja ya features za colonial education ilikuwa ni kuwachuja watu kwa mitihani migumu ili kuwapata wachache ambao wangewatumia kwenye shughuli za serikali yao. Hivyo mitihani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka kuapply diploma in primary education but kwenye guidebook ipo lakini nikifanya application zilizopo ni certificate tu ....shida ni nini na snifanyeje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna tetesi nimesikia toka kwa mtu wa karibu pale uhaziri tabora kuwa course ya procurement imefutwa..je kunaukweli wowote ktk hili..tafadhar kwa anayejua.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakaribisha maswali kwenye hili eneo kuhusu tabia nchi, hali ya hewa, mabonde, milima, mito, bahari, mazingira, majanga ya asili, anga na mengine yaliyomo. Lolote linalokutatiza uliza, majibu...
4 Reactions
95 Replies
14K Views
.
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Back
Top Bottom