Msaada kuhusu Nacte

empressu

Member
Jun 25, 2015
38
1
Nataka kuapply diploma in primary education but kwenye guidebook ipo lakini nikifanya application zilizopo ni certificate tu ....shida ni nini na snifanyeje?
 
Me mwyewe nilitaka kujuaa apo mkuu!! Kama ipo!?
 
kwa maelezo niliyopata kutoka kwa kiongoz wa chuo furani kilichopo arusha ni kwanba ili mtu asome ordinary diploma anatakiwa awe na elimu ya form six au awe na certificate ya ualimu ila kwa form four wote wanatakiwa waanze na technician certificate NTA level 5 miaka miwili halafu badae ndiyo asome diploma NTA level 6 miaka miwili.

Hizi ni taarifa za uhakika kwa mujibu wa sim niliyopiga.
 
Nkinga ya mjini tabora wanatoa
 
Akisoma techinician certificate in primary education hiyo miaka miwili anaajiriwa au lazima asome diploma
 
Back
Top Bottom