MSAADA WA KITAALUMA.

MSAADA WA KITAALUMA.

kabagile

Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
64
Reaction score
11
Ninaye dogo hapa kamaliza kidato cha nne ana 4 ya 26. anazo c mbili na D tano. niliomba chuo cha kilimo hapa Mwanza. Kupitia chuoni mpaka sasa naona jina lake halikurudi. Je nifanyaje au niombe kozi gani ambayo inaweza kuwa msaada kwake kulingana na hali ya nchi yetu. Nikijana wakiume. Naombeni ushauri ktk hili mwenye mtizamo zaidi naomba aniongoze ktk hili.
 
Back
Top Bottom