Second selection za kwenda kidato cha tano zinatoka lini?

Second selection za kwenda kidato cha tano zinatoka lini?

baiser

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,487
Reaction score
2,262
Ndugu wana jf kama kichwa cha habar hapo juu naomba kujuzwa hizo second selection za kwenda form V zinatoka lini au nichangalamacho maana watu wamesubr sanaa ilaaa waheshimiwa wapo kimyaa
 
Jamani humu hamna hamna kabisa MPISHI wa Tamisemi mumsaidie ndugu yetu huyu??
 
wapishi wa tamisemi sahvi wanaanda viungo kwajili ya kuhamia idodomya kwahiyo kuweni wapole mpaka pale pishi la idodomya litakapo kua tayari.
 
"Subra yavuta heri" endelea kusubiri ila uwe huyo mwanao awe amefaulu isije ikawa ndo kilaza halafu wewe ndo unategemea achaguliwe wakati ana ufaulu hafifu
 
Zipo, kuna vijana wengi tu hawakwenda v badala yake wanalima viazi gairo.
 
Back
Top Bottom