Chuo gani kizuri kwa Computer Studies?!

Chuo gani kizuri kwa Computer Studies?!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,133
Mfano Computer Science, Information technology, Information Systems, Software Engineering, Networking, na kadhalika!

Share with us!
 
Haya mambo ya tech inategemea na wewe utayari wako na kujituma kwa hiyo ni ngumu mtu kukwambia chuo flani ndo bora, maana kompyuter iko dynamic Sana na mambo yanabadilika na mengine wala hamfundishwi mavyuoni kwa hiyo inahitaji juhudi zako mwenyewe na kujiongeza.
 
Hili jibu limeshiba sana.....Thanks!
 
Back
Top Bottom