Nisaidieni wakuu!!Ninaye dogo hapa kamaliza kidato cha nne ana 4 ya 26. anazo c mbili na D tano. niliomba chuo cha kilimo hapa Mwanza. Kupitia chuoni mpaka sasa naona jina lake halikurudi. Je nifanyaje au niombe kozi gani ambayo inaweza kuwa msaada kwake kulingana na hali ya nchi yetu. Nikijana wakiume. Naombeni ushauri ktk hili mwenye mtizamo zaidi naomba aniongoze ktk hili.