TCU DEADLINE

TCU DEADLINE

sir doctor

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
291
Reaction score
66
Wakuu ni mwezi Wa name Sasa. Tume mpaka Sasa hawajatoa deadline za kuomba chuo? Mwenye kujua au kumfahamu mwisho lini anisaidie!!!!
 
Kweli wewe nunda.
Kila kitu kiko wazi mtandaoni.
Ni 05/08/2016.
Au tukuambie pia ni siku gani?
 
Kweli wewe nunda.
Kila kitu kiko wazi mtandaoni.
Ni 05/08/2016.
Au tukuambie pia ni siku gani?
Be careful sio kila MTU anaomba nacte???hiyo ni yako na nacte watch out with your word
 
Deadline ya tarehe 05/08 ni ya NACTE Udahili Wa Certificate na Diploma,,, kwa wale Wa bachalor degree tuweni na subira wakimaliza majadiliano yao tutapewa muongozo.... Source nimeenda OFISI ZA Nacte Central Dodoma ndo nikaambiwa hivyo...
 
Hii nacte deadline haina maana maana udahili wote unafanywa na tcu. Hiyo deadline ya nacte ni kwa cert n dip.
 
Deadline ya tarehe 05/08 ni ya NACTE Udahili Wa Certificate na Diploma,,, kwa wale Wa bachalor degree tuweni na subira wakimaliza majadiliano yao tutapewa muongozo.... Source nimeenda OFISI ZA Nacte Central Dodoma ndo nikaambiwa hivyo...
Point!!!¡
 
Back
Top Bottom