Msaada wa haraka tafadhali

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,987
6,663
Nimeulizwa hapa nimekosa jibu.
Wakati wa kulipia NACTE naona namba moja ni NACTE namba tano ni NACTE CAS,,Analipia ipi maana mdogo wangu ana mchecheto hapa.
 
Nimeulizwa hapa nimekosa jibu.
Wakati wa kulipia NACTE naona namba moja ni NACTE namba tano ni NACTE CAS,,Analipia ipi maana mdogo wangu ana mchecheto hapa.
unaaply nin na kupitia wap ..nacte au tcu....kama nacte nenda kwa website yao ya nacte analia kipengele cha central admstrtion system wameelexa
 
Kaka kama ni diploma ya ualimu w msingi nasikia zimefutwa kwa hiyo fuatilia kwanza kabla hujalipia hiyo hela yako usije kujilaumu badae
 
Kweli hapa ni Jf mbona watu wanaomba ila mimi nahitaji jibu ni NACTE au NACTE CAS
 
Back
Top Bottom