hivi kama mtu ana d phy, e chem,e bios,e bam, e gs. form six 2016, mbona ndalichako anabana , hatima ya hizi three ni nini wadau[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Kuna watu wapo huko kwenye mamlaka za kutoa maamuzi wengine walisomaga hizo h- kunani sasa wameshupaza shingo zao utadhani wanaujua mziki wa PCM,PCB,PGM,CBN au CBG.
Tuache utani kwa mazingira ya shule zetu za serikali itakua ngumu sana kupata wanafunzi wenye ufaulu wanaoutaka.
Kama kweli wanataka ufaulu mzuri waboreshe hizo shule kuanzia ufundishaji na miundo mbinu vinginevyo vyuoni watajaza wahitimu kutoka private schools na hapa kwa akili ya kawaida wazazi watapeleka watoto wao private schools na ada za huko zitapanda maradufu
Ukiangalia hili jambo ni kwamba litakua fursa nzuri ya ulaji kwa private school na litakua na ukakasi mkubwa kwa watoto wa masikini
Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six science waliokosa sifa za kujiunga na shahada foundation courses za mwaka 1 pia zipo .Karibuni huduma inatolewa bure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.