lift gharama
Senior Member
- Apr 11, 2015
- 107
- 66
Wadau salaam
Kuna chuo kinatafuta mwalimu wa umeme wa magari mwenye diploma ya field hiyo na mwenye uzoefu wa kutosha na kazi hiyo. Awe na idea na masuala ya Electronics. Mwenye kuhitaji hiyo post ani PM kwa maelekezo zaidi. Karibuni