Ni chuo kipi bora kwa programme hii

Ni chuo kipi bora kwa programme hii

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
855
Wana JF kwa wenye ufahamu kuhusu chuo bora kwa programme ya Procurement and Logistics Management kati ya (1).Mzumbe ambayo hutoa Bachelor of Business Administration in Procurement and Logistics Management,(2).Tanzania Institute of Accountancy(TIA) Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management (3).National Institute of Transport (NIT) Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management (4). UDOM- Bachelor of Commerce in Procurement and Logistics Management.
Na je kuna tofauti ya contents za hiyo programme kwa kila chuo au ni sawa na kama ni tofauti ipi ina contents iliyo bora?.
Nategemea kupata ushauri wenu kwani kuna mwanangu anataka kuchagua hiyo programme.
 
Ngoja waje wajuzi zaidi lakin hapo vyuo naviona viwili tu Mzumbe na N.I.T.

lakini ngoja waje wataalam zaidi
 
Ya kwanza Mzumbe, then TIA. Wahitimu wake nimefanya nao kazi ni wazuri sana kwenye eneo hilo!

Nimesoma UDSM.....But katika eneo la Procurement and Supply Chain Management bado UDSM hawajanishawishi kabisa. University of Dar Es Salaam Business School inabidi wafanye kazi ya ziada ili kujenga msingi mzuri wa kozi hii. Initially, walikuwa na kozi kama hii but waliipa jina gumu lisiloeleweka vyema kwa waajiri...BCom(Management Science).
 
Wana JF kwa wenye ufahamu kuhusu chuo bora kwa programme ya Procurement and Logistics Management kati ya (1).Mzumbe ambayo hutoa Bachelor of Business Administration in Procurement and Logistics Management,(2).Tanzania Institute of Accountancy(TIA) Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management (3).National Institute of Transport (NIT) Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management (4). UDOM- Bachelor of Commerce in Procurement and Logistics Management.
Na je kuna tofauti ya contents za hiyo programme kwa kila chuo au ni sawa na kama ni tofauti ipi ina contents iliyo bora?.
Nategemea kupata ushauri wenu kwani kuna mwanangu anataka kuchagua hiyo programme.
Nenda chuo cha NIT wako excellent sana kwenye mambo ya Logistics
 
Ya kwanza Mzumbe, then TIA. Wahitimu wake nimefanya nao kazi ni wazuri sana kwenye eneo hilo!

Nimesoma UDSM.....But katika eneo la Procurement and Supply Chain Management bado UDSM hawajanishawishi kabisa. University of Dar Es Salaam Business School inabidi wafanye kazi ya ziada ili kujenga msingi mzuri wa kozi hii. Initially, walikuwa na kozi kama hii but waliipa jina gumu lisiloeleweka vyema kwa waajiri...BCom(Management Science).
Hivi TIA ni Chuo iliyokuwa DSA(Dar Es Salaam School of Accountancy zamani?
 
Nenda Tanzania Institute of Accountancy (TIA). They are the best in Procurement and Logistics Management.

Jaribu pia kufatilia bodi ili ujue statistics za kila chuo huko.
 
Back
Top Bottom