GLOBAL WARMING
Member
- Sep 5, 2015
- 24
- 2
Habari zenu wana JF, mimi ni mgeni humu jamvini.
Naomba msaada wa kupata namba za simu za mhusika yeyote wa ofisi za TCU upande wa Admission mana kuna tatizo la kiusajili nimekutana nalo ambalo linanilazimu napate mtu wa kutoka pale ofisini, naombeni msaada huo ili niweze kuendelea na taratibu za kuapply kabla tarehe ya mwisho haijafika.