Boid
Member
- Jun 23, 2016
- 40
- 62
Poleni kwa kazi nzito ya kulijenga taifa hili changa. Nahitaji kujiendeleza kielimu kwa level ya masters, naombeni kujua chuo chenye ada ndogo hapa nchini na pia muda wa kusoma mpaka kumaliza kwa sababu kuna vingine nasikia ni mwaka mmoja tu unahitimu. Pia kwa yeyote aliyepitia OPEN UNIVERSITY anifungue kidogo nione kama ntawaweza. Ahsanteni watu wa Mungu