Naombeni mnijuze hili

Naombeni mnijuze hili

hashimrashidy

Senior Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
197
Reaction score
145
NAOMBENI MNIJUZE HILI.....HIVI KWA MTU WA DIPLOMA KUUNGA DIGRII LEVEL WANAANGALIA OVER ALL YA GPA YA MWAKA WA KWANZA NA OVER ALL GPA MWAKA WA PILI WANAGAWANYA KWA MBILI NDO IPATIKANE 3.5 AU WANAANGALIA MWAKA WA MWISHO DIPLOMA UMEPATA NGAP YAN SEMISTA YA KWANZA NA SEMISTA YA PILI MWAKA WA MWISHO.....NAOMBEN MSAADA
 
Ukxkia MTU kamalza university au college na kapata GPA x manake hyo n overall GPA from year 1 to last year .
 
Yani ni ivi bro ile GPA ya mwisho kwa semister ya misshwo ndo inayoangaliwa yani ile ndo inakua over all,na ndo ambayo inaangaliwa kwenye qualification.
 
Diploma 1 = NTA 5
Diploma 2 =NTA 6

kwenda degree wanaangalia NTA 6 only
Mchana mwema
 
Back
Top Bottom