nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
Hii kozi kwa wataalam unaweza kuajiriwa kama nani au kujiajiri kama nani inatolewa na chuo cha reli tabora ni kozi ya mwaka mmoja je ukimaliza hii unaweza kusoma diploma?
ukiona kimya ujue hii course unaifaham we we tu peke yakombona mnakuwa roho za kwann
ww mkuu wa kaya lete tamko la watumishi hewaukiona kimya ujue hii course unaifaham we we tu peke yako