Kufundisha wakati wa likizo ni lazima...???

kitally

Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
80
Reaction score
24
Jaman naomba mnisaidie kwani Kufundisha wakati wa likizo ni lazima coz huku kwetu tumeambiwa FRM 4 hawatakuwa na mapumziko ya wiki moja na walimu watafundisha Bure....
 
njoo huku na hela ya tuition nikufundishe maana naona umechoka kukaa shulee na tena ni frm four.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Jaman naomba mnisaidie kwani Kufundisha wakati wa likizo ni lazima coz huku kwetu tumeambiwa FRM 4 hawatakuwa na mapumziko ya wiki moja na walimu watafundisha Bure....
Kifupi ni kwamba mwenye likizo kwa mujibu wa sheria ni mwanafunzi na si mwalimu , wewe kama mwalimu unalikizo yako moja tu kwa mwaka inayo tambulika kisheria ambayo ni ya siku 28. Hivyo ni haki ya mwanafunzi kufundishwa na mwalimu pale ambapo italazimika kufanya hivyo hata ikiwa ndani ya mda wa likizo za wanafunzi
Hivyo mwalimu ufundishe tu sababu hiyo likizo si yako labda kama unalikizo ile ya kuomba ya siku 28 halafu ukalazimishwa kufundisha ,hapo ni kosa kwa mujibu wa sheria .
 
ccm mbele kwa mbeleeee, mtaisoma namba....apa kazi tu.....hajaribiwiii.....atabadilisha fedha ole wenu mlioeka kwenye maboksiiiii...... mm nipo kimya kama maji ya mtungi
 
Ni lazima maana mfanyakaz wa serikali Ana likizo moja tu KWA Mwaka, hiyo wiki moja unahesabiwa bado upo kazini.
KWA hiyo haina shida fanya kazi na usdanganywe na wakurupukaji hawajui sheria inasemaje watakupotosha then wanakuachia bonge la msala kituoni kwako
 
Kifupi ni kwamba mwenye likizo kwa mujibu wa sheria ni mwanafunzi na si mwalimu , wewe kama mwalimu unalikizo yako moja tu kwa mwaka inayo tambulika kisheria ambayo ni ya siku 28. Hivyo ni haki ya mwanafunzi kufundishwa na mwalimu pale ambapo italazimika kufanya hivyo hata ikiwa ndani ya mda wa likizo za wanafunzi
Hivyo mwalimu ufundishe tu sababu hiyo likizo si yako labda kama unalikizo ile ya kuomba ya siku 28 halafu ukalazimishwa kufundisha ,hapo ni kosa kwa mujibu wa sheria .
Exatly
 
Jaman naomba mnisaidie kwani Kufundisha wakati wa likizo ni lazima coz huku kwetu tumeambiwa FRM 4 hawatakuwa na mapumziko ya wiki moja na walimu watafundisha Bure....
Ni lazima kwa sababu wewe kama mtumishi wa umma una likizo ya siku 28 tu kwa mwaka kwa hiyo sio kila wanafunzi wakifunga na wewe unachukua likizo ikitokea form four wamebaki na sio likizo yako ya mwaka (28 days) unatakiwa uwepo kazini na ufundishe kama ulivopangiwa na ufanye kwa weledi na utii uliotukuka
 
ni lazima maana wewe huna likizo, na likizo za walimu ni June&Dec wakati mwingine majukumu yakiwepo yanakuhusu kama unavyopokea salary wakati wote

Asante but lazima pawepo na posho...???
 
i thread inamuhusu nani mwanafunzi au mwalimu kama mwalimu amevamia fani ajue wajibu wake duh
 
Nauliza coz huku kwetu walimu hawataki
Kama hawataki ni kosa na ni haki ya mwanafunzi kutoa malalamiko yake mahala panapo stahili, kwa sababu huyo mwalimu anaye kataa hajui majukumu yake kwa watoto.
 
Shule zinazofaulisha ndo wanafanyaga hivo ili kuwapa Nguvu wanafunz wake hasa Private Serikalini tatizo hakuna motivation ya kuwapa Waalimu Ari hyo halafu watu wananunua V8 2016 huku shule hazina Madawati
 
ccm mbele kwa mbeleeee, mtaisoma namba....apa kazi tu.....hajaribiwiii.....atabadilisha fedha ole wenu mlioeka kwenye maboksiiiii...... mm nipo kimya kama maji ya mtungi
CCM, kubadilisha hela vinahusika kwenye hii mada?
 
Kifupi ni kwamba mwenye likizo kwa mujibu wa sheria ni mwanafunzi na si mwalimu , wewe kama mwalimu unalikizo yako moja tu kwa mwaka inayo tambulika kisheria ambayo ni ya siku 28. Hivyo ni haki ya mwanafunzi kufundishwa na mwalimu pale ambapo italazimika kufanya hivyo hata ikiwa ndani ya mda wa likizo za wanafunzi
Hivyo mwalimu ufundishe tu sababu hiyo likizo si yako labda kama unalikizo ile ya kuomba ya siku 28 halafu ukalazimishwa kufundisha ,hapo ni kosa kwa mujibu wa sheria .
Umejibu vema kabisa!!
 
Sasa kama mwalimu hakupata muda wowote mwaka mzima kwa ajili ya likizo, na dec pia kazi zikabana hakupata likizo..!!
mwajiri itabidi amlipe kwa kumzuia kwenda likizo au ni bure tu coz walimu ni wito?
 
Kifupi ni kwamba mwenye likizo kwa mujibu wa sheria ni mwanafunzi na si mwalimu , wewe kama mwalimu unalikizo yako moja tu kwa mwaka inayo tambulika kisheria ambayo ni ya siku 28. Hivyo ni haki ya mwanafunzi kufundishwa na mwalimu pale ambapo italazimika kufanya hivyo hata ikiwa ndani ya mda wa likizo za wanafunzi
Hivyo mwalimu ufundishe tu sababu hiyo likizo si yako labda kama unalikizo ile ya kuomba ya siku 28 halafu ukalazimishwa kufundisha ,hapo ni kosa kwa mujibu wa sheria .
Ww n mwl ? Au ndio ****** wale ?
Professional teacher hawezi kifundisha wkt wa likizo sasa atafundisha madawati !
Mpk mwl kuingia darasani kufundisha kuna taratibu ambazo anafuata n ukumbuke Alisha bainisha miezi ya kufundisha n likizo ya wanafunzi.
Na kazi ya mwl sio kufundisha tu

Back
Top Bottom