UDOM wanatoa lini?

UDOM wanatoa lini?

ommky

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
459
Reaction score
225
wale tulio apply diplo udom, majibu yanatoka lini? maana muda unazidi kwenda. wenye kujua naomba ujambe jibu haraka. ....
 
wale tulio apply diplo udom, majibu yanatoka lini? maana muda unazidi kwenda. wenye kujua naomba ujambe jibu haraka. ....
umendikaje hapo mkuu *ujambe jibu haraka *
 
ndio mtu ajambe jibu haraka , hanitoe wasiwasi,.... kudadadeki
 
aisee toeni hayo majibu basi... au ni ninn?
 
Mkuu hata deadline bado afu... Tujambe ukikosaah ww c utasema tuharishe!!!!
 
wale tulio apply diplo udom, majibu yanatoka lini? maana muda unazidi kwenda. wenye kujua naomba ujambe jibu haraka. ....
Ha ha ha ha
Kwel unapaswa uende udom
Maana utaharisha matokeo
Ha ha ha ha
 
Ha ha ha ha
Kwel unapaswa uende udom
Maana utaharisha matokeo
Ha ha ha ha
oyi ww ringa tu, wakubwa wanakuambia ujambe jibu unaleta upopo, utakula mitama ya kijeshi ngoja nkukamate
 
Application udom bado zinaendelea hawez kutoa majibu leo mpk wamalike applications
 
Mkuu hata deadline bado afu... Tujambe ukikosaah ww c utasema tuharishe!!!!
okay ahxante atleast unaeshma ndugu angu , ila kuna mapopo humu namna wanavokomenti wananpandisha mzuka sana
 
Haiwez kua tarehe 16 lazma process za kuchagua zifanyike so matokeo kutoka si chini ya tarehe 25
 
diplo ya udom ni chuo ndio kinadahili chenyewe..... kujamba jibu ni kutuo jibu halisi kabixaaa
 
Jamani me naomba msaada hivi chuo kinadahili kwa mtindo tofauti na nacte? maana kuna dada yangu naye aliapply chuo cha AJUCO songea,Diploma ameambiwa apeleke maombi pale pale.
 
wale tulio apply diplo udom, majibu yanatoka lini? maana muda unazidi kwenda. wenye kujua naomba ujambe jibu haraka. ....

Deadline bado.....

uliaply coz zipi hapo THE VILAZA HABITAT??
(namaanisha UDOM samahanilakin)
 
Back
Top Bottom