Nataka kurudi shule, nisome nishaurini cha kufanya kati ya haya.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,459
17,268
Wakuu habari ya muda huu.

Baada ya mambo kua sio yenyewe zama hizi za mukulu ni wakati muafaka wa mimi kurudi shule.

Tulikua tukishauriwa kurudi shule tukawa tunaona ukirudi shule ukija utakuta pesa imeisha, sasa mambo sio mambo option ya shule inakua ni ya lazima.

Nafikiria kufanya yafuatayo kwa mwaka ujao.
1. kusoma CPA, nimechelewa kujiandikisha kwa mitihani ya mwezi wa 11 ila nimejipanga mwezi wa tano mwakani uzima ukiwepo nifanye.

2. Kusoma Masters of Finance & Accounting in Oil and Gas, UDBS.

Nafikiria kuvifanya vyote kwa pamoja, wakuu nipeni ushauri kipi nikipe kipaumbele au nifanye yote kwa pamoja(uwezo huo ninao)

karibuni wakuu.
 
Kila lakheri kama nia na uwezo unao wanasema elimu haina mwisho japo mimi huwa naamini ina mwisho
 
Back
Top Bottom