Kauli ya rais kuhusu ajira

Kauli ya rais kuhusu ajira

Nyanda21

Senior Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
134
Reaction score
60
Ilikuwa 22-06-2016 ilitoka kauli hii, ''NASITISHA AJIRA KWA MWEZI MMOJA AU MMOJA NA NUSU, HAITAZIDI MIEZI MIWILI'' sasa miezi mitatu itatimia kesho kutwa.
Msema kweli mpenzi wa Mungu.
[HASHTAG]#Natafakariiiii[/HASHTAG].......
 
[emoji1] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji16] yupo lumumba anahakiki watumishi wa ccm na kutatua kero zao
 
Acha namba zisomeke tu alie
shiba hamjui mwenye njaa
wanasema tujiajiri ili hali wao
na watoto zao wameshindwa
kujiahiri watoto wa makabwela
siku zote ndio tunao umia
tumejiajiri kwa kulima boga boga
lakini biashara haiendi huu mwaka siji sahau kaduka kangu
nimefunga biashara haziendi
kweli acha tuisome tu namba hakuna namna.
 
Pole Sana mkuu,,,. Kimya kingi kinamshindo tusubir mwisho wa mwezi labda
 
Aisee kama uyu baba yuko humuu au ata bodigad wake mfikishien taarifa kua mwez wa3 huu huenda kasahau mambo mengi Mara kupatwa kwajuaa Mara kupatwa kwa tetemeko Mara kupatwa kwa madeniii
 
Ilikuwa 22-06-2016 ilitoka kauli hii, ''NASITISHA AJIRA KWA MWEZI MMOJA AU MMOJA NA NUSU, HAITAZIDI MIEZI MIWILI'' sasa miezi mitatu itatimia kesho kutwa.
Msema kweli mpenzi wa Mungu.
[HASHTAG]#Natafakariiiii[/HASHTAG].......
itakuwa anajichanga ili mwakani aanze kutoa ajira rasmi
 
Hata kama unalengo nzuri la kufikisha taarifa lakini si kwa lugha hii.Mkuu ni busara kama utawiwa ufute hiyo comment yako
 
Na iyo miez Ambayo ajapandishia watu mishahara atalipa? Mmmm twaweza waongo km nn cz sidhan km kati ya hao vijana 71000 kuna ata mmoja anaempenda na kwa wafanyakaz ambao hawajapandishiwa mishahara ad leo sidhan kama wanampenda Tena tukutane 2020[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Aisee kama uyu baba yuko humuu au ata bodigad wake mfikishien taarifa kua mwez wa3 huu huenda kasahau mambo mengi Mara kupatwa kwajuaa Mara kupatwa kwa tetemeko Mara kupatwa kwa madeniii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi watoto wao wamejiajiri?au wanawatafutia kazi huko nje why watoto wa sakatonge waweze kujiajiri bila mtaji,bora kutokuwa mnafiki kama yule alomtengenezea njia mtoto wake kuwa mbunge wa.kuliko huyu anadai ana deal na watoto wa maskini kumbe ndo anazidi kuwagandamiza na huky akijigamba kwa media,now yupo kimya maana anaona aibu kile alichowahaidi vijana walohitimu vyuo mi batli,now amepoteza uaminifu kwa wananchi coz kila hotuba ni mipasho tu kwakwenda mbele.
 
Mtoto wake naye ni kilaz.. anamkusanyia pesa ampe mtaji....ameisha msaidia mtoto gani wa masikini ni uhuni tu hana lolote amefanya ajira kana kwamba ni za kwao....linataka tulisifie ndo litoe
 
Mtoto wake naye ni kilaz.. anamkusanyia pesa ampe mtaji....ameisha msaidia mtoto gani wa masikini ni uhuni tu hana lolote amefanya ajira kana kwamba ni za kwao....linataka tulisifie ndo litoe
sio mwanaye tu, hata yeye ni ki.la.za pia. yuko anaandaa mtaji wa mwanaye kwani mwanaye kashindwa kusoma. akifundishwa leo, kesho alishasahau. yule mtt ni ze.ro kama baba yake.
 
tuzid.kumuombea.rais
wetu.jamani.hata.mkilalamika.kaz.bure.mungu azid.kumpa.nguvu..atoe.ajira
 
Ee mwenyezi mungu mpe roho
ya huruma mtukufu raisi wetu mpendwa afungue ajira wakao pata wapate
maana najua sio wote wanao weza ajiriwa ila kulalamika kutapungua mheshimiwa kuna watu wazazi wao wameuza mashamba
mifugo na hata kuweka bond mali mbali mbali watoto wao wapate elimu wakitegemea wataajiliwa
hivyo basi fungua ajira mheshimiwa akikosa mwaka huu hata mwakani ataomba mwaka kesho kutwa ili visingizio viishe raisi
wetu ni msikivu atasikia vilio vya masikini sisi maana watoto wa
vigogo huwez waona mitandaoni
wanalalamika.
 
Back
Top Bottom