Wale wenye Point 3

Wale wenye Point 3

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
953
Reaction score
413
*MPYA*

*UDOM INATANGAZA NAFASI KWA WANAFUNZI WENYE SIFA KATIKA KOZI ZA DIPLOMA NA CHETI 2016/2017*

*HII INAWAHUSU PIA WALE FORM SIX ZAIDI YA 18000 WALIOOMBA TCU WAKATI HAWANA SIFA 4PTS ,ZA KWENDA CHUO KIKUU*

*APPLICATION ZOTE ZIFANYWE DIRECT CHUONI,KWENYE WEBSITE YA CHUO*

*DEADLINE NI TAR 24.9.2016*

>>>>> www.jamiiforums.com/2016/09/mpyaudom-inatangaza-nafasi-za-masomo.html
 
Kwani si tumeambiwa wanaotaka kuomba CERTIFICATE na DIPLOMA wanatakiwa wapitie NACTE!!! Mbona mambo yanakwenda hovyo hovyo namna hii, huyu anasema hili, huyu anatekeleza lile.
 
Kwani si tumeambiwa wanaotaka kuomba CERTIFICATE na DIPLOMA wanatakiwa wapitie NACTE!!! Mbona mambo yanakwenda hovyo hovyo namna hii, huyu anasema hili, huyu anatekeleza lile.
fuata maelekezo hujui kusoma, mna gwisugwisu za kikuda.... na sua pia deadline 30 septemba 2016
 
Back
Top Bottom