Msaada

Msaada

juliusJr

Senior Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
180
Reaction score
61
Jamani habari za usiku raia wana jamiiforum nilkua nauliza je TCU application unaruhusiwa kujaza nafasi nne tu yani I mean uchague mara 4 na sio mara 5 au ni lazima ujaze zote mara5
 
Sio lazima ufanye zote 5.

Unaruhusiwa kufanya chaguzi zisizopungua 3 na zisizozidi 5.

Kwaiyo hata ukifanya 4 bado uko sahihi.
 
Ahsante braza maana nilikua nabadili machaguo kwahyo nilipotoa ikanigomea nmeachaa ivo ivo
 
Kama imegoma alafu unalolitaka ujaliweka futa zote anza upya inakubali cz hata mm ilishanitokea nkafanya ivyo ila kama yapo sahihi acha ivo ivo
 
Yaliyobaki yanatosha ngoja niache ivo ivo tu maana yasihekugomaa maana leo 20 kesho 21 isijekula kwanguu maana TCU shikamoo
 
Back
Top Bottom