Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,748
Kuna mambo mengi ya kuyaongelea kuhusu UDOM lakini jambo mojawapo ni kwamba UDOM haijawahi kuwa na uhaba wa hostel hivyo vyumba vya kulala vipo bwelele mpaka kuna vyumba watu wanaishi wawili tu.
Karibuni UDOM mtafurahi wenyewe
Karibuni UDOM mtafurahi wenyewe