Naombeni msaada wenu jamani katika hili

khery jr

Member
Aug 31, 2016
5
2
nilifanya application ya degree na nikachaguliwa lakini cha ajabu course niliyomba iomba udom na waliyonipangia apo udom ni tofauti kabisa na hyo course sikuhijaza hata katika hvo vyuo vingne
naombeni ushaur wenu jamani
 
Inawezekana ulifanya mabadiliko katika ombi lako bila kukumbuka na kama umeprint itaonyesha tarehe na saa uliyofanya application yako na kama umefanya mabadilikoTCU watakuwa na tarehe na saa uliyofanya mabadiliko pia . Wasiliana nao kama una uhakika password yako hujampatia mtu akakufanyia uhuni
 
hutaki kuwa mwalimu....... basi rukiko,kajale,davido wanakusubili kwa hamu kubwa.....
 
Back
Top Bottom