kato Kazi
Member
- Sep 21, 2016
- 38
- 21
Mi nimefanya mtihani wa form 6 kama private candidate mwaka huu HGK nikapata 2.10. Ila nilipoomba chuo TCU wakanitema,
je inawezekana ni kwa sababu nilifanya mtihani km PC na ni wengi au tatizo linaweza kuwa nn?? Nimeomba tena second round mpaka sasa profile yangu haioneshi km nimechaguliwa.