Ajira

Ajira

Naona wasomi rusichoke kuwasumbua Tamisemi kuhusu ajira mpaka watoe.
 
Tamisemi hapa hawahusiki, wao n wa kuambiwa fanyeni hivi, kwan wao ndio walisitisha ajira mpaka wasumbuliwe?
 
kwani unaijuaje tamisemi. Tamisemi ipo ofisi ya Rais na waziri mkuu. Sasa si dio watamwabia. Wewe unafikiri shida zetu zitamfikiaje Rais kama sio kutumia tamisemi? Tusaidiane.
 
Unataka kutuaminisha kuwa rais hajui kama alisitisha ajira.....!?
 
Back
Top Bottom