TCU mmenichagua wapi?

TCU mmenichagua wapi?

surangumu

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
254
Reaction score
98
Wakuu, kwanza niwasalimu.

Mimi ni PCB na nimebahatika kuchaguliwa katika FIRST ROUND ya TCU nipo hapa nikisubiri confirmation kutoka vyuo tajwa hapo chini.

Wakuu nakaribisha maoni;

Anayeweza kuotea nitakuwa nimechaguliwa wapi namkaribisha.

ANGALIZO; Ambaye ataona hii post imemboa naomba asichangie.

1. MUHAS............Histo technology

2. St. JOSEPH......MD

3. KAIRUKI...........Nursing

4. St. JOHN...........Nursing

5. SUA...................Bio-processing

Karibuni tupunguze stress.....[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Muhas Histotechnology ushaipata mkuu.
Ila iyo kozi mbaya balaa nani alikwambia uijaze.
Uwaga hainaga compttn mkuu.
Last yr ilichukua had wenye dvsn4.
Ukienda hyo koz kwenu ukiulizwa wadanganye napiga MD muhas.
Hata apo Muhas watu wa hyo kozi hawanaga madarasa ya kusomea.
Nlichaguliwa hapo last yr hyo hyo histotechnology nkaacha nmeaply huu mwaka nmempata chuo kingne koz nzur tu.
 
hawa wanafunzi wa siku hizi wanapenda tittle za chuo kuliko course ambazo wanaenda kusomea, ilimradi tu na yeye aonekane anasomea MUHAS au UDSM, ndo unakuta mtu anaishia kusoma likozi halina hata future
 
Ndo maana nkaona nimwambie ukweli yaani hapo dogo umepoteaaaaa.
Histotechnology tena yy ndo atakua na matokeo mazur kuliko wenzakooote.
karibu muhas ila utaangaika pakusomea.
Atanyeshewa na mvua nje kwenye vimbwetaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Subr uaply upya mwakani[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Muhas Histotechnology ushaipata mkuu.
Ila iyo kozi mbaya balaa nani alikwambia uijaze.
Uwaga hainaga compttn mkuu.
Last yr ilichukua had wenye dvsn4.
Ukienda hyo koz kwenu ukiulizwa wadanganye napiga MD muhas.
Hata apo Muhas watu wa hyo kozi hawanaga madarasa ya kusomea.
Nlichaguliwa hapo last yr hyo hyo histotechnology nkaacha nmeaply huu mwaka nmempata chuo kingne koz nzur tu.
umepata chuo gani....
 
hv iyo dv 4 inakuaj kwa mwaka jana........
 
kuna Div 4 zilikuwa na Principles mbili mwaka jana wa BRN hao wanajua wenyewe....D ilikuwa principle last year....na wako wengi tu hao wenye Div. 4 chuo
ahaaaa ndoo mana wamepewa C kama principal pass noma sana.....
 
Wakuu, kwanza niwasalimu.

Mimi ni PCB na nimebahatika kuchaguliwa katika FIRST ROUND ya TCU nipo hapa nikisubiri confirmation kutoka vyuo tajwa hapo chini.

Wakuu nakaribisha maoni;

Anayeweza kuotea nitakuwa nimechaguliwa wapi namkaribisha.

ANGALIZO; Ambaye ataona hii post imemboa naomba asichangie.

1. MUHAS............Histo technology

2. St. JOSEPH......MD

3. KAIRUKI...........Nursing

4. St. JOHN...........Nursing

5. SUA...................Bio-processing

Karibuni tupunguze stress.....[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu...
1.hio course namba moja uliijaza tu sababu umesikia ipo muhas na ww kupenda kusoma muhas....?

2.au umeipenda course yenyewe...?

0404
 
hawa wanafunzi wa siku hizi wanapenda tittle za chuo kuliko course ambazo wanaenda kusomea, ilimradi tu na yeye aonekane anasomea MUHAS au UDSM, ndo unakuta mtu anaishia kusoma likozi halina hata future
Huko sahihi mkuu...mtu anajaza course ya ajabu kisa tu kasikia ipo muhas au udsm

0404
 
Back
Top Bottom