Msaada wa ku apply TCU second round

dullavirux

Member
Sep 11, 2016
38
8
Jaman naomben mnisaidie kila nikitaka kufanya second round inaonyesha nimesha apply but profile haina chuo hata kimoja, naombeni msaada wana TCU.
 
1474595519396.png
 
Rudi mwanzo walipoandika dear applicant, mkono wa kulia kuna sehemu wameandika edit info, bonyeza utaona chin mkono wa kushoto kuna sehem imeandikwa validate information bonyeza itarudi kule kule mwanzo apo bonyeza make second round uendelee
 
Dah mkuu asante sana
 
Back
Top Bottom