Nashauri TCU na NACTE wafanye haya:-
Warudishi mfumo wa mwanzo wa kudahili wanafunzi muda wowote kwa vyuo, kama ilivyo Open University of Tanzania na Jomo kenyatta University lakini udahili...
Vyuo Vilivyotoa Selection (machaguo) Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 Vyuo Vilivyotoa Selection (machaguo) Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa...
Ndungu wana jf habari za wakati kuna ndungu yangu amechaguliwa mwalimu nyerere kigamboni kusomea techinician certificate in primary education lakini kuna vitu ningeomba mnisaidie maelekezo kidogo...
ndugu zangu najua kuna mliokosa first round ya TCU ,,wengi wenu kwa sasa mnajaza course yoyote ili mradi upate chuo eti ukifika utabadili course....
natoa angalizo hii iliwahi kunikuta na mimi ni...
Habari zenu wanajamvi,
Hivi jamani hawajamaa wana ajenda gani ya siri?
Mpaka Leo tarehe 27/9/2016 hawatoi matokeo ya udahili wanamaana gani??
Au ndo wanatafuta kiki ??
Au nyie mnaonaje wakuu...
Wanabodi.....
Kwa sisi tuliofanya maombi mapya ya mikopo ya elimu ya juu mwezi wa saba mpaka wa nane.
Je majibu ya maombi yetu mtatupa lini maana vyuo vikuu ndo hivyo vinaanza mwaka mpya wa masomo.
Ndg wadau nina masikitiko makubwa kuhusu vyuo vikuu vinavyopandisha ada kiholela, hilo limetokea mwaka huu wa masomo 2016/17 katika chuo cha Stella Maris Mtwara University Collage, kwamba...
Nlipata IV ya 27 mwaka 2010. Nlipata D ya Biology na D nyingine za masomo mengine ya Sanaa hivyo nikaenda kusoma Certificate in General Agriculture huko Bagamoyo. Baada ya kuhitimu tukaambiwa...
habari wa kuu kuna siku nilikutaga tangazo kwenye mtandao kuhusu chuo kinachoitwa Cavendish univasity of Uganda nikajisajili kusoma course ya bachelor of computer science leo kuna enrolment...
Wakuu naombeni msaada wenu nimechaguliwa course ya political science and public administration university of Dar es Salaam.Naombeni kufahamu kuhusu hiyo course na mengine mengi kuhusu udsm.Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.