Utata chuo kikuu Mtwara 2016

Utata chuo kikuu Mtwara 2016

MWL KITOI

New Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
3
Reaction score
1
Ndg wadau nina masikitiko makubwa kuhusu vyuo vikuu vinavyopandisha ada kiholela, hilo limetokea mwaka huu wa masomo 2016/17 katika chuo cha Stella Maris Mtwara University Collage, kwamba wamepandisha ada (administrative fee kutoka 132000/- hadi 320000/- hili ni ongezeko Tsh 200000/- kubwa linalostajabisha wanafunzi wa chuo hicho hawakupewa taarifa ya ongezeko la kiasi hicho cha fedha mapema, taarifa ilitolewa tarehe 24/09/2016 siku moja baada ya chuo kufunguliwa (23/09/2016).... Je kutokana na sheria za vyuo vikuu kuhusu ongezeko la ada sheria inasemaje? Naomba msaada wenu wadau.

by Mwl Kitoi
 
Iseee mbona kama wamepandisha kwa zaidi ya 100%??? Hawawezi kuwa serious hao hapo cha msingi wanafunzi wagome tu
 
Ndg wadau nina masikitiko makubwa kuhusu vyuo vikuu vinavyopandisha ada kiholela, hilo limetokea mwaka huu wa masomo 2016/17 katika chuo cha Stella Maris Mtwara University Collage, kwamba wamepandisha ada (administrative fee kutoka 132000/- hadi 320000/- hili ni ongezeko Tsh 200000/- kubwa linalostajabisha wanafunzi wa chuo hicho hawakupewa taarifa ya ongezeko la kiasi hicho cha fedha mapema, taarifa ilitolewa tarehe 24/09/2016 siku moja baada ya chuo kufunguliwa (23/09/2016).... Je kutokana na sheria za vyuo vikuu kuhusu ongezeko la ada sheria inasemaje? Naomba msaada wenu wadau.

by Mwl Kitoi
Duuuh nashkur pia ckuomba admission apo
 
Back
Top Bottom