Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,125
- 34,277
Naskia majina yashatoka ya Muhas
Kiwa makini sana na heading zako uchwara izokuuliza kwani vibaya au
wewe ni mtu wa hovyo sana,acha dharau ndugu nimeuliza nataka kujua,ikiwezekana nipate wenzangu wa Muhas
Acha kuidhalilisha Muhas. Muhas hawaendi wapuuzi kama wewe[emoji57]acha dharau ndugu nimeuliza nataka kujua,ikiwezekana nipate wenzangu wa Muhas
Dgo kuwa makiniacha dharau ndugu nimeuliza nataka kujua,ikiwezekana nipate wenzangu wa Muhas
Wanaochaguliwa muhas huwa wanajionea kwenye profile zao majina yanawekwa baadaye sanaaNaskia majina yashatoka ya Muhas