Naombeni Ushauri

Naombeni Ushauri

ankoekka

Member
Joined
Jul 23, 2016
Posts
85
Reaction score
21
Nlipata IV ya 27 mwaka 2010. Nlipata D ya Biology na D nyingine za masomo mengine ya Sanaa hivyo nikaenda kusoma Certificate in General Agriculture huko Bagamoyo. Baada ya kuhitimu tukaambiwa ilitakiwa tuwe na pass za science, lakini tukapewa cheti. Nikaomba kusoma Ordinary Diploma in Animal Health Production huko Morogoro, nkachaguliwa NTA level 6. Kasheshe ni kwamba wanasema hawawezi kutupa cheti kwa kuwa tumesoma kozi hiyo kwa mwaka mmoja.
Niko njia panda, nifanye nini kukabiliana na changamoto za maisha zilizopo?
Naombeni Ushauri katika hili kwan niko njia panda ndugu zangu. Asanteni.
 
Back
Top Bottom