Weka namba zako za mitian apa nikupeleke third round.Habari zenu wanajamvi,
Hivi jamani hawajamaa wana ajenda gani ya siri?
Mpaka Leo tarehe 27/9/2016 hawatoi matokeo ya udahili wanamaana gani??
Au ndo wanatafuta kiki ??
Au nyie mnaonaje wakuu tujuzane zaidi, karibuni...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]S000/0001/2017 lols[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Msiwe na machungu nyote mtaenda vyuon, punguzen jazba na presha za ajab ajab.Unge mwandikia ya dereva bajaji maana hajui machungu waliyo nayo wahusika
Ngojangoja huumiza matumbo mkuu!!Msiwe na machungu nyote mtaenda vyuon, punguzen jazba na presha za ajab ajab.
Tatzo mnajiona kama mnachekwa na wiochaguliwa first round.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kitu kinaachiwa cku sio nying
Methal zote za zaman zimepitwa na wakat.Ngojangoja huumiza matumbo mkuu!!
Pia haraka haraka INA baraka
Kama harakaharaka ina baraka basi enda chuoni kabla hawajatoaNgojangoja huumiza matumbo mkuu!!
Pia haraka haraka INA baraka