mournyrutta
Member
- Sep 15, 2016
- 51
- 11
Habari zenu naombeni jibu hili swali langu hivi Tcu wanaweza wakafungua tena third round ya kufanya application?naombeni jibu tafadhali
Nadhan swal limejibiwa ipasavyoUkisoma apo chin utaelewa. Ni tangazo walilotoa kabla ya kuruhusu second round