ant robbery
Senior Member
- Sep 14, 2016
- 111
- 53
habari wa kuu kuna siku nilikutaga tangazo kwenye mtandao kuhusu chuo kinachoitwa Cavendish univasity of Uganda nikajisajili kusoma course ya bachelor of computer science leo kuna enrolment officer at Cavendish univasity of Uganda. Kanipigia simu kuniarifu kwamba kanitumia students application form. ili niijaze iyo form yenye vipengere ving tu but iyo form nimeshindwa kuijaza kutokana na kuto kuelewa niijaze vip mwenye kuelewa wa mambo kama haya naomba anisaidie anipe namba yake ya watssap ili nimtumie hii form anielekeze jinsi ya kujaza nashukuru
nawasilisha
nawasilisha