Msaada kuhusu transfer kutoka chuo kimoja kwenda kingine

Barbosa

Member
Jun 23, 2016
42
22
waungwana naomba msaada kuhusu kufanya transfer kutoka chuo kimoja kwenda kingine
je garama inagharimu kias gani?
je inawezekana kubadili kozi uko unakokwenda?
kuomba tranfer ufanyika online au mtu anaenda ofisini moja kwa moja?
swala la mkopo litakuaje transfer inausiana na mkopo au?
je ni wakt gani sahihu wa kufanya transfer?
msaada tafadhali na mengine yausianayo na tranfer.....
hope ntapata majibu sahihi
 
Kwanza kwa mwaka jana gharama ilikuwa ni 30000/= na unafanya online mwezi november. Kuhusu mkopo utahamishwa baada ya miezi mitatu au minne ( ufuatiliaji unahitajika) Kuhusu kubadili program... unapofanya transfer sio lazima uchague program ileile... unaruhusiwa kubadili chuo na program (Nilihama toka chuo fulani BAED kwenda chuo fulani BA(CHT).
 
shukran sana God Bless u
 
Hiyo transfer inafanyikia wapi kule central admmsion system au kuna sehem nyingine ..alafu na jee hua wanaonyesha kozi zilizobakia na ambazo zimejaa ??alafu ukifanikiwa utaanz mwezi huo huo november au .? ....na mwisho kama umehama na ukakuta wenzako washaanza je kutakua na effect yoyote
 
Hiyo transfer unaifanya hukohuko CAS kuhusu program zinakuwepo zile ambazo hajijajaa... kuanza chuo ni muda wowote baada ya kuchaguliwa unahimizwa kuwahi kabla wenzio hawajakuacha saana.... Effect ipo kwasababu utawakuta wenzio washaanza kusoma na wengine labda washafanya quiz au test ambavyo ni vitu muhimu sana kukamilisha coursework. Ila ni ujanja wako kuwafuata malecture ili wakupatie individual test au quiz ili kufill gape maana incomplete ni hatari sana ktk coursework.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom