Kwa yeyote mwenye taarifa ya chuo cha kilimo na mifugo cha IGABIRO-MULEBA. Basi naomba anipe detail zake kwa wanafunzi wa Cheti(certificate) kwa mwaka huu wanahitajika kuwa na vitu gani? sare zao...
Tatizo la ajira kwa watumishi katika mwaka tajwa inaonekana ni mfupa ulioishinda serikali ya JPM.Hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali iwe Mh.Rais mwenyewe au wasaidizi wake mwenye jibu la...
Wana bodi,
Kitendo cha wanafunzi kupigwa kinyama shule ya mbeya day pamoja na kuzua mijadara katika vyombo vya habari mimi nimekitazama kama aibu kubwa kwa kwa chuo kikuu cha dar es salaam...
Ninahitaji kumhamisha dogo toka shule moja ambayo nilimpeleka pale A'level (HGL) lkn shule haina walimu wa Georg na Language. Sasa natafuta shule bweni lkn ada isizidi 3 milioni mkoa wowote.
Kama wote tujuavyo habari inayotikisa vichwa vya habari kwa sasa ni kuhusu ile video inayoonyesha walimu wa field wakimshambulia mwanafunzi wa kidato cha 3 katika sekondari ya kutwa ya Mbeya...
Salaam ndg zangu,
Jaman naomba kusaidiwa hivi ni course gani ya (Masters) iliyo marketable anayoweza soma MTU aliye na first degree ya Elim(BAED)
Note:ZILIZO NDANI YA FIELD YA EDUCATION AU HATA...
KUNA MDOGO WANGU AMECHAGULIWA KUSOMA BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN INSURANCE AND RISK MANAGEMENT CHUO CHA IFM JE AKIMALIZA ANAWEZA FANYA KAZI KAMA NANI? HII KOZI INA MANUFAA? NA ANAWEZA SOMA...
Nina mdogo wangu alimaliza form mwaka juzi akawa amepata four. Nikampeleka chuo kusomea certificate bahati hakufanikiwa kumaliza sababu ya kuugua. Mwaka huu nataka nimrudishe chuo nimeangalia...
Ndugu wanajamii, nimefanya uchunguzi na kugundua kuwa wengi wa wanafunzi wa kidato cha 4 na 6. wanaofanya mtihani wa elimu ya dini ya kiislamu(EDK) final! wanafeli sana, ukilinganisha na wale...
Habari za saa hizi wandugu! Samahani, naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo kozi tajwa hapo juu!
Kozi hii ni moja ya kozi ambayo hutolewa na Chuo cha Diplomasia Dar, es salaam kwa ngazi tofauti...
Wakuu a.aleykum
Selection za chuo zimetoka nimepata computer science ifm,kwangu naona sawa kwa sababu ya kukua kwa teknolojia hivyo demand ya wataalamu itaongezeka,tatizo napata upingamizi mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.