mult_talented_p
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 103
- 120
Jamani, sisi wanafunzi wa St. Joseph walioamishiwa RUCU kupitia Marian tumesumbuka sana toka mwezi wa nne hadi leo, hatujapata mkopo.
Tuna vigezo vyote na tumekua tukihangaika kuja Dar kufatilia kwa gharama kubwa lakini hatujapata fedha hizo za kujikimu.
Nasikitika ya kua baadhi ya wanafunzi wenzangu wameacha chuo na wengine wakiwa kwenye madeni makubwa ya ada na chakula.
Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya Elimu itusaidie maana maisha yamekua magumu. Mimi ni msichana mdogo na nimelazimika kufanya kazi ili kumudu maisha ya chuo nikiwa mbali sana na nyumbani.
Naombeni mnifikishie kilio changu kwa waziri wa elimu Professor Joyce Ndalichako.