mkuu umepongezwa tu kwa kukamilisha machaguzi yako yote matano ,hivyo vuta subra uone wapi watakupanga .Nimeandikiwa ivi inamaanisha nini wadau, nimemaliza diploma na GPA ya 3.4
We tulia tu tena usikorofishe profile lakoKwahiyo niwe na subiri watanipangia mkuu