Msaada kuhusu kusoma course ya pharmaceutical science

Msaada kuhusu kusoma course ya pharmaceutical science

Joined
Sep 28, 2016
Posts
8
Reaction score
0
Habari zenu ndugu,

Naombeni ushauri kuhusu course ya pharmaceutical science maana kuna watu wengi baadhi wanasema ni course ambayo hainaga dili kabisa wanadai bora kusomea ualimu tu na sio hii course.

Kwa wenye uelewa na naombeni ushauri.. Natanguliza shukrani kwenu.
 
Wanakupotosha kama unaimudu na ipo kichwani mwako kaipige mnona iko poa tu hata sokoni siyo haba
 
Hainaga dili kwa maana ipi?
Haina ajira?
Haina marupurupu?
10% za kujiongeza hakuna?
Dadavua kidogo.
 
Hainaga dili kwa maana ipi?
Haina ajira?
Haina marupurupu?
10% za kujiongeza hakuna?
Dadavua kidogo.
wanadai haina ajira mkuu na hasa kwa diploma na wanadai wakiajiriwa wanalipwa kima cha chini sana
 
Back
Top Bottom