J jaluz Member Joined Oct 18, 2012 Posts 47 Reaction score 7 Nov 1, 2012 #1 hostel za duce zilizopo mbagala zipo mzuka, wale wanaolilia mabibo wasubiri kufulia kwani pande hizo malaya wapo kibao!
hostel za duce zilizopo mbagala zipo mzuka, wale wanaolilia mabibo wasubiri kufulia kwani pande hizo malaya wapo kibao!
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,345 Nov 1, 2012 #2 Sh ngapi?
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,343 Nov 1, 2012 #3 mabasi yanayoenda kasi yashaanza kazi?
R Raph Senior Member Joined Jul 21, 2011 Posts 115 Reaction score 49 Nov 1, 2012 #4 Duh,kuna magari kama yale ya mlimani?
J jaluz Member Joined Oct 18, 2012 Posts 47 Reaction score 7 Nov 1, 2012 Thread starter #5 73000,treni itaanza punde mpaka mtongani,usafiri wetu ulikuwa wa shida now ujenz wa barabara unaelekea kukamilika
73000,treni itaanza punde mpaka mtongani,usafiri wetu ulikuwa wa shida now ujenz wa barabara unaelekea kukamilika
K kokaumba JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 402 Reaction score 188 Oct 11, 2016 #6 Vipi now pakoje