zeromagic
Senior Member
- Sep 14, 2016
- 186
- 67
kwanza nawapongeza form six leavers wote pcb na cbg waliofaulu vizuri mitiani yao ya taifa.
lakini cha kushangaza, mpaka sasa wahitimu wengi wenye ufaulu kuanzia div2 pcb na baadhi ya div1 cbg wengi wao hawajapata vyuo.
watu hawa walikua wana ndoto za kua madaktar na mapharmacia wa baadae, sasa ndoto yao inaenda kuuliwa sio kwa sababu wamefeli form6, la hasha. huwezi kusema mtu aliyepata div2 ya kumi kafeli.
ili hawa watu kutimiza malengo yao wafanyeje?
na vyuo kua vichache kulinganisha na idadi ya wafaulu ni tatizo la nani?