mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,803
- 12,173
Wanafunzi wa shule ya msingi Nakatete, iliyopo halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara wanalazimika kusomea chini ya miti ya mikorosho kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa unaoikabili shule hiyo.
Shule hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 2005 pia inakabiliwa na uhaba wa walimu, nyumba za walimu pamoja na ukosefu wa matundu ya vyoo.
Chanzo:East Africa Radio.
Shule hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 2005 pia inakabiliwa na uhaba wa walimu, nyumba za walimu pamoja na ukosefu wa matundu ya vyoo.
Chanzo:East Africa Radio.