Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,501
- 13,146
ni hivi naomba kujulishwa wanajamvi hv wanafunzi waliokosa selection kidato cha tano hatima yao ni nn je serikali haitambui uwepo wao?? nashangaa inakuwaje mwanafunzi ana qualification zote lakin hapat selection kwann?? mwenye kujua theory behind atujuze.