Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu karibu tujadili. Sahivi Kuna sera mpya ya Elimu, na imepitishwa na serikali, na katika sera hiyo, Kuna mabadiliko kwenye eneo la walimu. Katika sera mpya Ili ufundishe Sekondari ni lazima...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
1. Proceed from simple to complex 2. Proceed from known to unknown 3. Proceed from part to whole 4. Proceed from particular to general 5. Motivate learners to learn 6. Do not teach in isolation 7...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools. Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Jinsi gani naweza kujaza form ya rufaa ya mkopo Heslb utaratibu ukoje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020. Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari zenu, Chinese Government Scholarships zimefunguliwa kwa sasa. Ni full funded kwa undergraduate, masters na PhD Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili na tofauti zake Nation Country State
1 Reactions
12 Replies
552 Views
Tusaidiane kuhusu Masters of Educational Management and Administration NA Masters of Education in Administration, Planning & Policy Studies M. Ed (APPS)
1 Reactions
2 Replies
796 Views
Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, naombeni kuuliza; Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje? Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kuwauliza kama hamtajali. Naomba mnijulishe kuhusu kozi zinazohusu masuala ya usafirishaji na inakuaje tafadhali
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Ni shule Gani ya msingi (English medium)ambayo inafundisha kiingereza na kifaransa au kiingereza na kichina Kwa mkoa wa Dar es salaam wilaya ya ubungo?Au hata kinondoni?
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
1 Reactions
5 Replies
399 Views
Wakuu habari za saa, Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry . Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
jamani wadau kumekuwa na hii kozi (BED ECE) inayotolewa na baadhi ya vyuo hapa nchini kama udsm, udom na sekomu. Inaonekana haina mda mrefu toka ianze kutolewa. Naomba kujuzwa zaidi kuhusu hii...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari Wana JF. Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi Bodi ya Mikopo (HESLB)
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58%...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom