Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5. Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye! Ahsante...
4 Reactions
11 Replies
884 Views
Habari wakuu naombeni mimi ni CO muajiriwa serikalin kutokana na kuwa na muda mwingi kazin kwangu nimewaza kusoma kozi ya data management pale open university bika kuomba ruhusa kazin,vipi kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
616 Views
Habari Wadau, Katika pilika pilika za maisha hapa na pale nimeona Tangazo la chuo cha IAA linalosema wanatoa Masters kwa mwaka mmoja. Naomba kuuliza wadau hii kitu imekaaje. Je, Mamlaka husika...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
517 Views
Ndugu Zangu Shule Na Vyuo Mpaka Ufadhili Kuanzia Kidato Cha Kwanza Mpaka Vyuo. Tafadhali Tembea Shule Iliyo Jirani Nawe Elimu Ni Bure,
1 Reactions
2 Replies
428 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kujifunza ufundi wa vifaa vya umeme kama TV, Redio, simu na vinginevyo naomba kujuzwa chuo kizuri cha kujifunza ufundi huo hapa Mwanza.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali yetu sikivu iruhusu shule zake za msingi zitoe elimu kwa lugha ya kiarabu Kwa kuzingatia mitaala ya kiserikali sawasawa na zile za kiingereza almaarufu...
2 Reactions
9 Replies
527 Views
Habrini wadau Je kwa wakati kama huu, je ni kozi zipi za ufundi zinazotolewa kwenye vyuo vya serikali kama VETA kijana anayependa kujiajiri kwa kufungua ofisi yake zina soko kubwa kwa sasa kama...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Chuo cha City College kimewaaacha njia panda wanafunzi waliohitimu masomo yao Mwaka huu 2024 baada ya kutangaza kuwa mahafali( graduation) yatafanyika tarehe 22/11/2024 na kuwahimiza wanafunzi...
2 Reactions
4 Replies
874 Views
Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari? Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza, Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za...
2 Reactions
4 Replies
589 Views
Habari zenu wakuu Jaman naomba msaada kozi gani nzuri ya kusomea kati ya gender and development na management of social development Na vipi kwenye upande wa kujiajiri au kuajiriwa je ipi ni...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu. Naona kuna kitu kinaitwa Project Management Professional certification ambapo ukifuatilia wanasema kinatolea na chuo cha project cha P,I kilichopo marekani lakini ukipata cheti chake...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts. 1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Hivi kuna foundation kozi ya Clinical Officer ili kupandisha GPA?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa anaemfahamu mtu au kwa aliesoma hii kozi naomba anicheki inbox tafadhali
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya Metarogy. Je, naweza kuapply kwa dirisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa Diploma kwa kozi ya...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba. Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology. Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia...
3 Reactions
5 Replies
674 Views
Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz Ana c moja tu D nne Na e moja Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
0 Reactions
4 Replies
472 Views
Naomba kuuliza kama mtumishi wa umma (mwalimu) anataka kujiendeleza kupitia open university siku za mitihani inabidi awe anaomba ruhusa kwa mwajiri?. Au wazoefu mshawahi soma open mlikuwa mnafanyaje
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom