Kozi ya BED ECE (Bachelor of Education in Early Childhood Education)

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
735
jamani wadau kumekuwa na hii kozi (BED ECE) inayotolewa na baadhi ya vyuo hapa nchini kama udsm, udom na sekomu. Inaonekana haina mda mrefu toka ianze kutolewa.

Naomba kujuzwa zaidi kuhusu hii kozi hii na soko lake ndani na nje ya nchi, na je graduate anaweza kufanya kazi katika maeneo gani ukiacha ualimu?
 
Last edited:
jamani wadau kumekuwa na hii kozi (BED ECE) inayotolewa na baadhi ya vyuo hapa nchini kama udsm, udom na sekomu... Inaonekana haina mda mrefu toka ianze kutolewa. <br />Naomba kujuzwa zaidi kuhusu hii kozi hii na soko lake ndani na nje ya nchi, na je graduate anaweza kufanya kazi katika maeneo gani ukiacha ualimu..?
 
Utalea watoto ya tima wewe ila kama ni ke we jaza tu ila me haifai
 
Kwenye, local NGO na international wanachukua watu wenye ujuzi huo Ila inahitaji usome na uelewe vizuri ukiwa Darasani ili uuzike mtaani
 
Back
Top Bottom