Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium ili kuondoa ubaguzi kwenye shule za msingi za serikali sababu serikali yenyewe inazo shule za English Medium kibao kwa nini...
11 Reactions
66 Replies
10K Views
Naomba kufafanuliwa na nielewe juu ya swala hili. maana wengine wanasema shahada yeye anafika mpaka bar ( mwisho) stashahada anaishia daraja H na astashahada anaishia daraja G? je kuna ukweli hapo?
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kumekuwa na wizi wa pesa zinazokusanywa kwenye Shule za Sekondari, Tsh. 50,400/-. Wakuu wa shule wamekuwa wakikusanya pesa hizo lakini hawawapatii bima Wanafunzi hadi wanamaliza masomo yao hasa...
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Habari wamanzuoni naweza kupata msaada wa kuweza kupata soft-copy ya vitabu hivi vya science kwa level ya A-Level kama 1. Conceptual Chemistry Volume I For Class XI 2. Conceptual Chemistry Volume...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ukiziangalia tu hizi Timetable utajua ni kwa kiasi gani mitaala yetu ilivyo famba. Bado tuna safari ndefu sana.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Naombeni kuuluza, kama dirisha la transfer chuoni huwa linasogezwa? Au kama kuna uwezekano wa kusogezwa?
1 Reactions
9 Replies
603 Views
Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Anonymous
Shule ya msingi Sabaga ipo Mkoa wa Kigoma wilaya ya Kasulu vijijini, Shule hii ina zaidi ya wanafunzi 1,567 na kuna vyumba 8 tu ya madarasa, Licha ya uhaba wa madarasa pia kuna uhaba mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Anonymous
Najitambulisha kama Mwanachuo wa Chuo Kikuu kimoja hapa Tanzania na mdau wa Jamii Forums. Nalalamikia Loans Board kuchelewesha malipo kwa Wanafunzi vyuoni. Mfano chuoni kwetu tumefungua Tarehe...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Bila shaka tunaweza kuwa mashahidi wa jinsi somo la HISABATI lina umuhimu katika Ulimwengu wa sasa, Utakubaliana nami kuwa Hisabati ndio nguzo muhimu katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia...
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Naomba kujua kutoka kwa wazazi wenzangu ambao watoto wenu wanapata matokeo bora, siri ama mbinu gani mnatumia hapo nyumbani mtoto afaulu? Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Mwenye kuelewa namna ya kufanya Apply For Appeal kwenye mfumo wa OLAMS HESLB naomba msaada maana kila nikiingia mfumo unaniandikia "An Error Occurred Please Try Again" Msaada kwenye tuta wakuu
2 Reactions
2 Replies
571 Views
Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Habarini. Leo watu wengi disbursement zimekua displayed kwenye account zao za Heslb Ila kwangu bado hakuna mabadiliko. Kwanini?
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Na kumbuka Mabweni ya Urafiki, umoja, maendeleo, ujamaa na muungano! Nakumbuka shida ya umeme iliyokuwa itokea na kulazimika kutumia chemli! Kama mtakumbuka Kuna kisima cha kupampu a.k.a...
1 Reactions
31 Replies
12K Views
Habari wanajamii, Naomba kuuliza jambo kuna mtu amekutwa na changamoto, amepoteza kadi yake ya bank aliye tumia wakati wa maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kisha kwenye kusajiri...
0 Reactions
4 Replies
544 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, Leo mwanangu amenipa taarifa kuwa shule yao,yaan Ubungo Nhc msingi inabadilishwa na kuwa mchepuo wa kingereza Nikapata mshituko kidogo, ikabidi nifanye uchunguzi...
1 Reactions
9 Replies
679 Views
Chuo cha Uhasibu Arusha kutoa mafunzo ya Uhasibu, Tehama na Uongozi Comoro Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Profesa Eliamani Sedoyeka anaongoza ujumbe wa chuo hicho katika mazungumzo na...
0 Reactions
1 Replies
540 Views
Comrades and fellow members here are some tips you should know; Top of Form Bottom of Form How to Write an Essay This concise guide to writing an essay by PhD Professor...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom